Tuesday, October 25, 2016

Wakazi wa mji wa Himo wilayani Moshi, wamehoji hatua ya polisi kutowawajibisha maofisa wake wawili wanaohusishwa na mtandao wa wizi wa magari.
Maofisa hao, mmoja akiwa na cheo cha Mrakibu wa Polisi (ASP) na mwingine Koplo, walikamatwa na magari matatu ya wizi ambayo yalisafirishwa hadi jijini Dar es Salaam

Tuesday, October 18, 2016

Wednesday, October 12, 2016

unyama

ujumbe maridhawa kwa msajili
 

Prof anapokubali kuwa mshumaa



Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikutano ya hadhara lakini juzi Lipumba kafanya mkutano wa hadhara mjini Lindi na Polisi wameulinda na kuhakikisha unafanyika kwa amani. Nani bado hamjui aliyemtuma Lipumba? Nani bado hajui dhamiri yake? Nani bado anaamini Lipumba ni mpinzani??