Tuesday, October 25, 2016

Wakazi wa mji wa Himo wilayani Moshi, wamehoji hatua ya polisi kutowawajibisha maofisa wake wawili wanaohusishwa na mtandao wa wizi wa magari.
Maofisa hao, mmoja akiwa na cheo cha Mrakibu wa Polisi (ASP) na mwingine Koplo, walikamatwa na magari matatu ya wizi ambayo yalisafirishwa hadi jijini Dar es Salaam

1 comment: