SIRAHA HARAMU 5,250 ZACHOMWA MOTO KENYA
Kenya imechoma silaha haramu ndogondogo zipatazo 5,250 ambazo zimechukuliwa kutoka kwa wahalifu na nyingine kurejeshwa kwa hiari.
Hafla hiyo ya Jumanne imeongozwa na makamu wa Rais William Ruto na waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaissery katika eneo la Ngong
No comments:
Post a Comment