Tuesday, November 8, 2016

WAFANYABAIASHARA NDOGONDOGO MOROGORO WAGOMA



Wafanyabiashara ndogondogo wakibeba meza na mawe kwa ajili ya kufunga barabara ya madaraka na kuchoma magurudumu moto baada ya wagambo wa Manispaa ya Morogoro kuwaondoa katika maeneo yasiyoruhusiwa kufanyia biashara. Picha na Juma Mtanda


1 comment:

  1. serikali inahitajika kuliangalia swala hili kwa jicho la tatu na sio kukurupuka na kufanya mahamuzi kwa kutafuta kiki

    ReplyDelete